Wadau poleni na mihangaiko ya hapa na pale,
Naomba kufahamishwa kuhusu hawa jamaa zetu wa bima ya afya, coz since last time fufanye oral interview naona wamepotea mazima na hakuna public announcement yoyote ile kuhusu nini kinaendelea na tutarajie yapi na lini?