nini cha ajabu hapo sasa,au wewe ni mgeni wa hili jukwaa mkuu?hapa watu tunashare experience mbalimbali.
Wakuu,mko fresh?kuna hawa jamaa wanaitwa OLAM tanzania,wamenipigia cmu niende kwenye interview huko wilayan bunda kwa nafasi ya quality control inspector,naomba kujua maswali wanayoulizwa kwenye usaili na mshahara wao.
Thank you
mshahara hauzidi jiwe mbili ila utapata kwenye CJ interview zao za kawaida sana hasa maswala ya hesabu na kupata nafasi ni shida kama hukuwai kufanya nao kazi, wanapenda kuchukua previous employees sababu ni issue ya msimu