Mimi ukiniambia kuna ambao hawakawahi kucheat (mwanamke au mwanaume) naona kama unaniambia kuna wasio na dhambi.
Ukisema kuna ambao hawajawahi kutoka nje ya ndoa nitakubali 100%
Mi nashangaa sana ninapoona mwanamke au mwanaume anaposema mpenzi wake hajawahi kucheat
Wapo wengi, mimi nina wife wangu ndiye nilikuwa boyfriend wake wa kwanza. Na nilimkuta akiwa bikira na sasa tuna mtoto mmoja. Nilimkuta akiwa na hali hiyo akiwa na age ya 26yrs. Sasa ni very rare kukuta mwanamke bikira.