hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,919
saizi tupo kwenye karne ya ushindani wa hali ya juu sana na kila mtu anataka kujiona ni mjanja sana kuliko mwenzake.
mm kuna mwanamke nina uhisiano naye kama miezi 2 hivi lakini ktk huu uhusiano mm ni full kuingilwa kila siku nachezewa plan za kuombwa hela sasa imefikia wakati plan za kuombea hela zimeisha.
leo hii amenitumia massage ananiambia jana wakati anaenda kijijini alipata ajali walikufa watu 3 ila yeye alivunyika mbavu na saizi yupo hospatali kwahiyo anaomba ni mtumie 50000 ili imsaidie kwenye matibabu.
na wakati huo leo asubuhi mm nimemuona hapa mjini anapiga misele na ni mzima kabisa.
na kwabahati nzuri yeye hakuniona.