Kuna mwanamke amenifungia kipindi cha ajali

Kuna mwanamke amenifungia kipindi cha ajali

Unalalamika nini Kama alikuwa anakuuzia pappuchi na wewe ni MTEJA mzuri anataka hamsini y'all advance Kama ulikubali kuliwa acha pepereche Tulia uchunwe
 
Mambo mengine hata sijui kwa nn watu wanaomba ushauri humu
 
Mimi kuna mmoja kaniambia anaumwa bawasili anataka laki Moja na nusu akatibiwe nilichonwambia mama yangu mzazi anatibu huo ugonjwa njoo aukutibu buree bila gharama yeyote..!! Kilichofuatia niliwekwa blacklist
 
saizi tupo kwenye karne ya ushindani wa hali ya juu sana na kila mtu anataka kujiona ni mjanja sana kuliko mwenzake.

mm kuna mwanamke nina uhisiano naye kama miezi 2 hivi lakini ktk huu uhusiano mm ni full kuingilwa kila siku nachezewa plan za kuombwa hela sasa imefikia wakati plan za kuombea hela zimeisha.

leo hii amenitumia massage ananiambia jana wakati anaenda kijijini alipata ajali walikufa watu 3 ila yeye alivunyika mbavu na saizi yupo hospatali kwahiyo anaomba ni mtumie 50000 ili imsaidie kwenye matibabu.

na wakati huo leo asubuhi mm nimemuona hapa mjini anapiga misele na ni mzima kabisa.
na kwabahati nzuri yeye hakuniona.
Hahahahahaha.mkuuuu nimecheka sna kama umemuona mwambie afie mbali huna mpango na yy kwannn akudanganye kiasi hicho aiseee mkuuu mchukulie hata za haraka
 
Mpigie simu mwambie upo mapokezi je amelazwa wodi namba ngapi!? Atalokujibu litakuongezea uhakika kuwa mtu uliyenae si mwanamke ni kiwanda cha kutema uongo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aisee, kuna siku atakutumia sms atakuambia amekufa umtumie rambi rambi akanunue jeneza lake maana sio kwa uongo huo. Ila niulize mkuu, huyo demu anakaa maeneo gani maana location nayo ina matter hapo.
 
Mtafute kimyakimya bila kumpigia cm alafu mpe hiyo hela uone Kama atapokea au laa?
 
Umenikumbusha cartoon moja. Mfanyakazi kamuomba ruhusa boss kwamba baba mdogo kafariki na ruhusu kapewa. Siku ameondoka huyo baba mdogo kaja ofisini anamtafuta. Basi siku mfanyakazi aliporudi boss akamuita ofisini. Ukamuuliza unaamini katika watu kufa na kufufuka. Jamaa akasema haamini maana hakuna ushahidi wa namna hiyo. Boss akamweleza ushahidi upo ni wa baba yake mdogo alikuja ofisini siku alipokwenda kumzika. Yule jamaa akabakia kutetemeka.
 
Back
Top Bottom