Mimi nimesoma packaging material Technology. Ushauri mzuri inategemea na hizo boxi zinawekewa bidhaa gani, uzito,nature ya bidhaa.Hizo boxi kama zitatumika kama primary packaging au secondary packaging.Kuna vitu vingi sana atakuuliza designer wa packaging. Fanya utafiti kuna viwanda vya maboxi vipo dar ila sivikumbuki.