Kuna mtu anataka kunipiga hapa bei ya laptop aina ya apple

Bavarian8

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
656
1,433
Wadau nisaidieni wale wauza simu chap naona kuna mtu anataka kunipiga hapa bei Ya laptop aina ya apple yenye details hiziRAM 4Gb,HARD DISC 512 ,processor 3.5,SIZE INCH 14 ,COLOUR BLACK AND SILVER GUARANTEE 2YRS ,,NAMBIEN WADAU CHAP BEI YAKE
 
Mwambie aina hiyo ya laptop hutolewa bure na USAID.
Labda kama unataka umtoe buku 10 ya maji.
Akibisha kukupa hiyo laptop niambie PM au piga 99 kwa msaada zaidi.
 
Kuwait serious basi kama hujui kaa kimya
 
mambie akupa jina lake vizuri.. model name na mwaka wake.. kisha google..

maana kuna mac book pro, mac book air, mac book bla bla..

apple laptop ya mwaka 2010.. bei haifanani na ya mwaka 2018 hata kama ina same specs na zote hazijatumika
 
Wadau nisaidieni wale wauza simu chap naona kuna mtu anataka kunipiga hapa bei Ya laptop aina ya apple yenye details hiziRAM 4Gb,HARD DISC 512 ,processor 3.5,SIZE INCH 14 ,COLOUR BLACK AND SILVER GUARANTEE 2YRS ,,NAMBIEN WADAU CHAP BEI YAKE
sema ni ya mwaka gani na anataka kukuuzia bei gani... ina 3.5 ghz imekuwa desktop au???
 
Wadau nisaidieni wale wauza simu chap naona kuna mtu anataka kunipiga hapa bei Ya laptop aina ya apple yenye details hiziRAM 4Gb,HARD DISC 512 ,processor 3.5,SIZE INCH 14 ,COLOUR BLACK AND SILVER GUARANTEE 2YRS ,,NAMBIEN WADAU CHAP BEI YAKE
Huyo Mtu kama yuko KUPATANA.COM kimbia mbio sana, usigeuke nyuma
 
Shs Ngapi na Wewe utakuwa user WA Ngapi na ni toleo gani Siyo apple Maradi apple
 
Back
Top Bottom