Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Wakuu Uwezo Mkubwa wa Vijana hawa hakika ni hazina katika taifa hili Masikini linalohitaji watu wake wawe wanafanya Kazi na Si Porojo na Kuunda Makundi na Kukaa Vijiweni.
Mimi Nampongeza mwenye Mkoa wake ,Kijana Mrisho Gambo Kipenzi cha Wana Arusha kuwa Mkoa wa Arusha Ameuweza na Upo Under Total Control ninachompongeza Zaidi ni lile suala la Maandamano Arusha ilikua prone sana kwa maandamano.
Maandamano yalimaliza sana Vijana kwa Vipigo walivyokua wanavipata ndiyo maana hadi sasa Vijana wa Arusha wameamua Kumtii Mrisho Gambo aliyerudisha Amani na Kukomesha Tabia hiyo ya
Maandamano yaliyokua yananufaisha wanasiasa. Waswahili wanasema '''Mchuma janga hula na wakwao'' asitokee Kiongozi wa Kiasa akavunja sheria za Nchi akakamatwa akafikiri watu wa Arusha watamtetea Hapana.
Mwisho Vijana kama Paul Makonda, Mrisho Gambo, Ally Hapi ni Viongozi wazuri sana tuwaoneshe Ushirikiano tuu.