Kuna mtu alishawahi kumiliki Mini Cooper?

nilishawahi kutaka kununua, actually ulaya hizi gari ni nyingi sana hasa kwa wabahili wa wese. jamaa mmoja hapahapa jf akacomment at magari hayo ni ya mashoga. tangu siku hiyo nikikutana nacho hata barabarani sitaki hata kuviona.
Comment ya mtu mmoja inabadili preference zako? Are you sane?

Hakuna sehemu kuna manifesto inayosema hizo gari ni za mashoga.

Na hao mashoga wanatumia bidhaa tunazotumia, simu, magari n.k.

Na mbona kuna nyimbo za mashoga mnazisikiliza?
 
mkuu, nenda tu kanonoa cooper. pia endelea tu kusikiliza nyimbo zao. hakuna mtu amekufunga mikono.
 
Comment nyingine ni za kuvumilia tu kwa sababu kila mtu ana uhuru wa kuchagua anachotaka ila tusipotoshe wengine kwenye facts. Sijwahi kusikia gari fulani zinatengenezwa kwa ajili ya mashoga, na siyo issue ya kusikia pekee ila HAKUNA kitu kama hicho, ni FACT. Zipo accessories kwa ajili ya mashoga ila si models maalum
 
Hakuna anayekulazimisha kununua usichotaka au usichokipenda ila aliyekuambia kuwa hizo gari ni za mashoga (inawezekana unamuamini sana) amekujaza na ukajaa kirahisi sana. Jielimishe kidogo vinginevyo machaguo yako mengi yataamuliwa na vigezo vya hovyo.
 
Comment nyingine ni za kuvumilia tu kwa sababu kila mtu ana uhuru wa kuchagua anachotaka ila tusipotoshe wengine kwenye facts. Sijwahi kusikia gari fulani zinatengenezwa kwa ajili ya mashoga, na siyo issue ya kusikia pekee ila HAKUNA kitu kama hicho, ni FACT. Zipo accessories kwa ajili ya mashoga ila si models maalum
Sahihi kabisa Bora kununua min cooper kuliko ist

Sent from my Nokia 5.3 using JamiiForums mobile app
 
Hiiyo gari naiheshimu sana nilwahi kuuza Mercedes kwa bei nzuri nikasema wacha nitafute gari ya kuzungukia hapa mjini nikakutana na hiyo gari ya mwaka wa karibuni harafu wanauza bei ndogo ni kuwasha na kuondoka nayo kipindi hicho ukilipa gari documents hata ziliwa hazijakamilika wanakupa gari nikaondoka nako aisee nilikatumia sana safari za Mpumalanga na Durban kama vile safari ya karibu nilitamani kukaleta home sema niliona kadogo sana labda kabebwe ndio urafiki ukaishia hapo na kukauza na kuhamia Haval H 2 ya mchina..
 
Nimewahi kuendesha aina tofauti Ila sijawahi kumiliki wala sijawahi kuipenda hivyo
Mimi na uzee wangu sikuweza kumiliki
Kadogo mno
 
Back
Top Bottom