Kuna mtenda na mtendewa

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
852
Reaction score
2,976
Namaanisha hivi!
Kwenye wizi lazima Kuna mwizi na aliye ibiwa vilevile kwenye mauaji pia Kuna muuaji

Wamekubali Kuna mauaji je muuaji yupo wapi?
 
Namaanisha hivi!
Kwenye wizi lazima Kuna mwizi na aliye ibiwa vilevile kwenye mauaji pia Kuna muuaji

Wamekubali Kuna mauaji je muuaji yupo wapi?
Nani anatoa kibali cha kumiliki silaha
Nani anauza silaha
Nani anauza risasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…