Kuna mtego ambao Iran anaingia pasipo kujua
Ushabiki wekeni pembeni tujiulize kabisa kama Marekani na Israel wana uwezo wa kujua siri za ndani ya Iran yaani nina maana kujua wapi viongozi wa juu wa Iran walipo na kuwaua. Je, washindwe kujua uwezo kamili wa kivita wa Iran?
Je kama walijua Iran ni tishio kwao kwanini wali attack Iran ?
Je kwanini wanawekeza nguvu zao nyingi katika kujitetea na kuonyesha dunia kuwa wanaonea ? Kama umefatilia vizuri vita hivi zaidi upande wa Israel wamekuwa wakionyesha huruma kuwa wanaonewa na Iran inashambulia makazi ya watu,wao wana shambulia vituo vya kijeshi.
Kwanini wanashindwa kutangaza vita kamili zidi ya Iran?
Ukijiuliza maswali yote haya utagundua kuna hesabu za mbali zinapigwa hapa ambazo matokeo yake yatakuja kujulikana hapo mbeleni kidogo tuombe uzima tu