Kuna msichana nampenda lakini yeye hanipendi

Kuna msichana nampenda lakini yeye hanipendi

bigi 8

Member
Joined
Jan 23, 2013
Posts
19
Reaction score
3
Kuna msichana nampenda lakini yeye nahisi hanipendi nikimtumia meseji hajibu anasema hana credit .Kisa kwamba nilshawai kumtongoza akanikataa ni miezi sita sasa namfuatilia mpaka nimechoka yeye anataka nimpigie simu mimi tu .
 
Kumpenda mtu ambaye hakupendi ni sawa na kungojea meli airport.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kuna msichana nampenda lakini yeye nahisi hanipendi nikimtumia meseji hajibu anasema hana credit .Kisa kwamba nilshawai kumtongoza akanikataa ni miezi sita sasa namfuatilia mpaka nimechoka yeye anataka nimpigie simu mimi tu .

pole mkuu mpaka leo bado una mambo hayo? Hadi leo hii 2013 Wanawake wote hao umemuona mmoja tu?
 
Sasa nifanyaje
Wewe umesema na unamhisi hakupendi, ni miezi sita sasa, haoneshi dalili za kukupenda. Bado hujajua cha kufanya tu..!!
Huwezi kumlazimisha mwanamke akupende, jaribu bahati yako kwa mwanamke mwengine, mbona wapo wengi..!! tuliza akili yako, fanya uamuzi sahihi, approach kwa kifaa kingine.. "before you score you have to make several attempts on goal.."
 
Msichana anataka umwezeshe credit hata ujiongezi unataka upate feedback ya sms zako wakati ujatuma vocha .Mkuu kumbuka Mapenzi ya leo ni Mpk fedha hata hvyo ni kwann uangaike na Mtu ambaye akupendi hivi uoni ni kama kutengeneza donda katika Mwili wako Mwenyewe.

THINK AND GROW RICH
 
ckia jembe tafuta pesa akijua unazo atajileta mwenyewe.
 
Pesa uchawi wa kizungu amka utafuta salary ukizipata utamkimbia wewe.
 
Mkubwa jina lako lina uhusiano wowote na umri wako? Au ni umbo tu?
 
Inawezekana hujafunguka kwa huyo dada kwa hiyo hakuelewi nia yako au domo zege
 
Kuna msichana nampenda lakini yeye nahisi hanipendi nikimtumia meseji hajibu anasema hana credit .Kisa kwamba nilshawai kumtongoza akanikataa ni miezi sita sasa namfuatilia mpaka nimechoka yeye anataka nimpigie simu mimi tu .

Sasa kama hakupendi, kuna sababu gani ya kuendelea kumng'ang'ania?
 
Back
Top Bottom