Hivi binadamu kama binadamu unachakachua nn na ni nn unatosheka kwa kuchakachua huko! Kumbuka anayeweza kuchakaza binadamu ni shetani anapopata nafasi tu. Hapa issue ni mahusiano yenye lengo la kuoana lkn mmoja anaona hawezi kufanya hivyo so ni kumuongoza afanye nn basi!!Foolish! unataka uchakachue hadi ukishatosheka ndo umuache, kama siyo hivyo mwambie mapemaaaa.
Bora aumie kwa kuachwa kuliko maumivu unayompa ya kumdanganya.....
Huu mwaka huu....watu ni kupendana tuu.....haya bwana ukishatosheka kufanya yako muombe na 0713 ili utosheke kabisa..nyambaaf
Kuna msichana anainipenda kweli na kila siku haachi kuniambia kuwa ananipenda na anataka nimuoe ila ukweli ni kwamba simpendi kama anavyo nipenda yeye na sina mpango wa kumuoa na nimekuwa kwenye mahusiano nae kwa takribani mwaka nimejaribu kuwa na furaha nikiwa nae ila sina furaha... Naogopa kumuacha kwani naona nitakuwa nime muumiza sana