Kuna movie naitafuta siijui jina

Jimmy George

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
1,733
1,648
Habari wakuu !!

Kuna movie moja nimewahi kuiona kwenye banda la video nikiwa mdogo natamani kama ningeiona tena.
Movie yenyewe ni ya kizungu jamaa anatakiwa arudishe kitabu sehemu anapita kwenye msitu, kuna muda hicho kitabu kinakuwa na mdomo kinaongea,kinakuwa shimo kubwa. Kuna sehemu jamaa alilala vikatokea vijitu vifupi vikawa vinamsumbua mara vibebaniane umma kumchoma ikafika wakati jamaa ikabidi anywe maji ya moto ili kuviua kwingine nimesahau.
Kwa maelezo hayo kama mtu atakuwa ana idea nayo naomba anitajie jina la movie niitafute.
Asante kwa watakaonisaidia kuipata hii movie.
 
Jamaa kuna sehem alikosea maneno aliyo yaambiwa atamke before kuchukua kitabu.

Ilikuw wenge, ila kwa sas ukiicheki huwez furahia maan teknlojia yaa kipindi kile kwa sasa unaaona wanazngua zile efect zao
mkuu kweli unaweza ukaona effect zao zinazingua lakin story kama ilikuwa nzuri na movie milele itakuwa nzuri tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom