Flutter bado inakua. Ndio kwanza imetoka kwenye beta stage. Kitu kikiwa kwenye beta makampuni makubwa hayawezi kukirukia. Ssahvi ndi inaanza kukua vizuri.
Kuna apps za Google tayari ziko built in fluttet kma Google Ads, Stadia App, Google assistant, na zingine zinaongezeka kma Google TV app, Google photos (soon). Na kuna app za company zingine eBay, Alibaba, nk.
Ukitaka kutumia flutter fully kwa sasa lazima ujue na native language za target platforms ili ukikakwa unaingiza tu JS or Kotlin or Swift