Tatzo lao hawaeleweki. Wana advertise Kotlin kwenye android sana huku wana advertise watu watumie Dart with flutter pia. Kipi ni kipi sasa.
Flutter ni nzuri sana aisee. Na Web apps pia ina support. Mimi ndio najipinda hapa nataka niisome vizuri.Jamaa wanarahisisha mambo. Kotlin V/s flutter/Dart ni kama mtu aliyesoma C++ halafu akajifunza VB. Yaani huo ni mfano wa namna Flutter ilivyorahisishwa. Na pia developer atapata app ya Android na iOS bila kuteseka.
Flutter ni nzuri sana aisee. Na Web apps pia ina support. Mimi ndio najipinda hapa nataka niisome vizuri.
Java > KotlinTatzo lao hawaeleweki. Wana advertise Kotlin kwenye android sana huku wana advertise watu watumie Dart with flutter pia. Kipi ni kipi sasa.
Sio unaanza kusoma flutter wakati hujui dart.Flutter ni nzuri sana aisee. Na Web apps pia ina support. Mimi ndio najipinda hapa nataka niisome vizuri.
mi natumiaWadau wa mobile development (Android & iOS) kuna anaye tumia Flutter humu kutengeneza app zake? Flutter inaonekana kama strong competitor to React Native na Xamarin kwa sasa
Sawa mkuu unaonaje sasa tujipinde kwenye Kotlin au FlutterMm pia Flutter nimeipiga chini, hii PL watu wanaipenda kwa sababu ya UI tu, pia hata makampuni mengi ya IT wame evaluate wameiyona hai meet requirement zao hata google wenyewe kwenye product zao hawatumii flutter
Flutter kama unatengeneza simple app au website tumia fluatter, kama app yako ni complex, app kama ya kufanaya payment(digital banking), insurance au health. timia language nyingine kama java ivi, sema java UI in majanga kamahauna basic skills in UI in App devlopmentSawa mkuu unaonaje sasa tujipinde kwenye Kotlin au Flutter
Uzuri ni kwamba upande wa backend unaweza tumia language nyingine. Unamix language tofaut vizuri tu. Kma ukitaka kwenda flutter mazima ni lazima ujue na native language ya platform unazo target maana utakuja kwama vibayaFlutter kama unatengeneza simple app au website tumia fluatter, kama app yako ni complex, app kama ya kufanaya payment(digital banking), insurance au health. timia language nyingine kama java ivi, sema java UI in majanga kamahauna basic skills in UI in App devlopment
Asante sana Mkuu nataka kutengeneza mobile app ambayo kuna wadau itabidi wafanye malipo ndio nilikuwa nataka nijpinde kwenye flutter.Flutter kama unatengeneza simple app au website tumia fluatter, kama app yako ni complex, app kama ya kufanaya payment(digital banking), insurance au health. timia language nyingine kama java ivi, sema java UI in majanga kamahauna basic skills in UI in App devlopment
Flutter bado inakua. Ndio kwanza imetoka kwenye beta stage. Kitu kikiwa kwenye beta makampuni makubwa hayawezi kukirukia. Ssahvi ndi inaanza kukua vizuri.Mm pia Flutter nimeipiga chini, hii PL watu wanaipenda kwa sababu ya UI tu, pia hata makampuni mengi ya IT wame evaluate wameiyona hai meet requirement zao hata google wenyewe kwenye product zao hawatumii flutter
Una target platform gani? iOS + Android + Web? Au android tu? Kma platform ni moja tu ni bora ufanye native tuAsante sana Mkuu nataka kutengeneza mobile app ambayo kuna wadau itabidi wafanye malipo ndio nilikuwa nataka nijpinde kwenye flutter.