upatikanaji wa mafuta umekuwa ishu sn hasa toka bei ya 1990 (kwa petroli) ianze kutumika kwa hapa dzm vituo vingi vimefungwa unaambiwa hamna wese. leo jpili nimeyapata kwa vijana wanayauza 3000 kwa lita. hiv kuna mgomo au nn kinaendelea? na km mamlaka haiwez kuwatia nidhamu hawa jamaa kwann wasiwaachie wauze kwa bei watakayo kuliko hiv hatupati kabsa wese?
...Updating.Issue iko namna hii, EWURA imetengeneza utaeatibu wa kupabdisha na kushusha bei karibia kila wikiend inapokaribia!! Sasa utaratibu huu umekua wa ajabu sana kiasi cha kwamba kama last time ilipanda, basi this time lazima ishuke. Bei haijawahi kupanda au kushuka mara mbili mfululizo. Sasa kwa kua leo ni Jumapili na lst time bei ilishuka basi ni wazi kesho lazima itapanda!! Sasa wanachofanya wafanyabiashara ni kuyahifadhi mafuta yale waliyoyanunua wiki iliyoisha kwa bei kidogo ili waje kuyauza kwa bei kubwa wiki inayoanza!! EWURA wanachanganya sana kwa kweli!! Watu wana mafuta karibia mwezi wa pili sasa, lakini wao kazi yao ni kupandisha na kushusha ka wiki kwa bei za ku-google Internet.
...Ukizingatia hii ni holiday season, hali inaweza kuwa mbaya zaidi. Kuna shida kubwa ya mafuta ya petroli daressalaam hivi sasa.Viongozi wanasubiri hadi hali iwe ngumu ndio waingilie kati swala hili,nchi yetu bwana!
SErIKALI IPO MIFUKONI MWA WATUSio kwamba wamelogwa wenye vituo vya mafuta wako juu ya serikali japo serikali anajifanya inawapa schedule price ya mafuta
na hapo ndo theluthi ya magari hayapo mjiniNi saa la pili sasa nimepanga foleni ya kusubiri mafuta ya petrol. Hivi hii nchi ina uongozi? Jk,pinda, bilali wapo wapi ? Hawaoni mateso ya watanzania. Ni njia gani rahisi ya kuhama nchi?