Kuna mambo wangeshindwa kupredict lakini sio swala la Google au Alibaba.
Kwa mtu yeyote yule mwenye akili anajua kabisa Google's search algorithm (PageRank) ilikua a revolution kwenye search industry wakati inatoka, hakukua na any better algorithm kipindi kile, infact ukiisoma PageRank moja kwa moja unajua kabisa kua its a genius idea, its hard kufikiria any better algorithm, hata sasa hivi wame~incorporate machine learning kwenye search lakini engine bado inaendeshwa na PageRank.
I think CEO wa kipindi kile alikua na too much pride, aliona kampuni inaingiza pesa nyingi sana kwa mpigo akafikiria hakuna mtu atakuja kuwatoa kwenye game. Ni vizuri kua na CEO ambaye anajua technology na sio sales peke yake kurun a tech company. Angalia makampuni kama Google na Facebook siku hizi kila new tech ikitoka wakijua tu inauwezo wa kucompete na wao wanainunua, wana team imekaa ya kutafuta smaller companies 24/7, hizi companies nadhani zitakuwepo miaka 100 ijayo.