Kuna mechi yoyote Simba walidhulumiwa msimu huu?

canfi

JF-Expert Member
Jun 26, 2022
1,240
1,279
Pamoja na Yanga kutwaa ubingwa, walionja machungu ya maamuzi ya dhurma kwenye mechi za Mbeya city , Tanzania prisons, Geita na Coastal union (japo walishinda mechi za Geita na Coastal). Naomba mwenye kumbukumbu ya Simba kukutana na dhurma ya kiuamuzi msimu huu anijulishe.
 
Simba ndio timu iliyopewa Penalty nyingi msimu huu na ndio timu iliyokosa penalty nyingi. Kwa ujumla ndio timu iliyo bebwa kwa nguvu zote ila ikashindikana.

Kilicho wakwamisha Simba ni kuimarika Kwa Yanga,Bahati mbaya kwao Yanga unakwenda kuimarika zaidi msimu ujao.
 
Lkn walishindwa hata kuongoza ligue
 
Simba ya msimu huu ilikuwa ni kama Azam tu iliyo changamka kidogo. Yaani haikutupa kabisa presha kwenye ligi. Walikuwa wakipata sare, wenyewe wanashangilia!

Yaani hawakuwa kabisa na mambo mengi. Washambuliaji butu! Morali yao ilikuwa chini! Yaani safi kabisa. Kama vipi na msimu ujao wawe hivi hivi.
 
Pamoja na Yanga kutwaa ubingwa, walionja machungu ya maamuzi ya dhurma kwenye mechi za Mbeya city , Tanzania prisons, Geita na Coastal union (japo walishinda mechi za Geita na Coastal). Naomba mwenye kumbukumbu ya Simba kukutana na -

dhurma- ya kiuamuzi msimu huu anijulishe.
Tukujulishe wewe kama nani?
 
Simba ndio timu iliyopewa Penalty nyingi msimu huu na ndio timu iliyokosa penalty nyingi. Kwa ujumla ndio timu iliyo bebwa kwa nguvu zote ila ikashindikana.

Kilicho wakwamisha Simba ni kuimarika Kwa Yanga,Bahati mbaya kwao Yanga unakwenda kuimarika zaidi msimu ujao.
Ni kweli kabisa
 
Mada imejikita kujua dhurma walizofanyiwa Simba. Coz kuna malalamiko kuwa dhurma zilitamalaki
Yanga kubebwa hiyo pia ni dhuluma kwa Simba. Mlipewa points ambazo hamkustahili hiyo maana yake mliwadhulumu mliokuwa mnacheza nao na mliwadhulumu wapinzani wenu wa karibu (Simba).
Dhuluma sio lazima ihusishe michezo ya simba moja kwa moja .
 
Simba ndio timu iliyopewa Penalty nyingi msimu huu na ndio timu iliyokosa penalty nyingi. Kwa ujumla ndio timu iliyo bebwa kwa nguvu zote ila ikashindikana.

Kilicho wakwamisha Simba ni kuimarika Kwa Yanga,Bahati mbaya kwao Yanga unakwenda kuimarika zaidi msimu ujao.
Akili huna
Huna Akili

Kwani timu ikipata penati nyingi ndio imebebwa?je kama ni za halali zote?

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Simba ya msimu huu ilikuwa ni kama Azam tu iliyo changamka kidogo. Yaani haikutupa kabisa presha kwenye ligi. Walikuwa wakipata sare, wenyewe wanashangilia!

Yaani hawakuwa kabisa na mambo mengi. Washambuliaji butu! Morali yao ilikuwa chini! Yaani safi kabisa. Kama vipi na msimu ujao wawe hivi hivi.
Ila mechi zote 2 mmeshindwa kuondoka na point 3 dhidi ya Simba!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom