Kuna mawaziri watakufa muda wowote

Kufa ghafla?kwani nani anayejua anakufa lini ili?nini tafrisi ya ghafla?kwani kuna m2 tunajua cku yake ya kufa?
 
Pastor wangu kigeugeu,bibi yangu kigeugeu,wanasiasa vigeugeu,hadi watabiri nao vigeugeu! Ni njia tu za kujipatia kipato..coz anajua hao mawaziri wanaamini sana hayo mambo! Yangu macho..
 
Hivi anashindwa kutabiri ya Maendeleo, anatuletea ujinga. Mi nashangaaa hivi utabiri ni vifo tu Na ***** mwingine.
 
Labda Mawaziri Wadokozi wataanza kufariki; Wakiendelea na Udokozi - Ufisadi wao
 
Ndiyo maana nyerere alimtimulia babake kenya shauri ya mambo hayo hayo.
 
dah.!! Hii nchi ya ajabu sana.!
 
Mtamjuaje kuwa na yeye ni mtabiri bila kutabiri vigogo????hata shekh yahya alikua na tabia hiyohiyo

Like father like son!! Wachawi mshahara wao ni ziwa la moto wasipotubu na kuacha ushetani wao!!!
 
sweetlady, unajua kakake AshaDii alivyo na wivu, kuna m'baba alinisifia hapa nikaambiwa niitoe ntaletewa kama ya mwali ila kaiagiza arabuni. nimekuwa mpole, si unajua ndoa siku hizi kama kijiwe😛oa
My mke mwenza King'asti, kwani ile avatar umemuuzia nani na sh ngapi?
 
Last edited by a moderator:
hivi kweli mwingira anamla mkeo,
badala ya kwenda mahakamani
unakwenda kumkodolea mimacho,
hivi wanaume wengine wakoje jamani, lol.
 

Yaani huyu ni sawasawa na yule Nabii wa kike na mchungaji waloangusha wachawi ambao hata mlinzi hakuwaona, ni wazi sasa utapeli umezidi, watu wanafanya mambo kwa kutafuta umaarufu , shame on them ... Mola atuepushe na haya na mengine ....
 
Hivi haiwezekani ikatungwa sheria ya kukataza huu upuuzi? Viongozi wengi Africa wamekuwa wanatumia huu mwanya kuwaandaa watu kisaikologia ili wakimshughulikia mtu basi ionekani ni utabiri unatimia. Nani asiyejua kuwa baba yake huyu kijana alikuwa anatumiwa na wakubwa kutisha watu? Kabla ya uchaguzi mkuu uliopitia alitoa utabiri wa kifo kwa mgombea urais! mambo yakawa kinyume, sasa mtoto wake anataka kugeuza watu mazuzu. Huu ni ujima.

Pili, katika dini ya kiislam, utabiri unaruhusiwa?
 
.
Mtoto wa Shekh yahya ameamua kupiga mluzi ili hao wakuu wa nchi washirikina wajue yupo. Utashuhudia sasa watakavyomiminika kwake sasa kutafuta kinga ya hofu waliyohofishwa.
''waache wafu wawazike wafu wao''
.

Tena wa kwanza kwenda huko atakuwa Shibuda, maana so far ndio alotangaza kugombea urais, kwa hiyo tunasubiri rais mtarajiwa shibuda atie timu yake hapo !
 

"Enyi mlio amini! Bila ya shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shet'ani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa" Sura ya TANO (5:90)

Huyo ni Mushrikiin, ambae anamshirikisha Mwenye ez Mungu, hilo halikubaliki katika Uislamu, hivo anakengeuka huyo !
 
Reactions: FJM
:hatari:Na mimi natabiri kuwa CCM itakufa na urais wa JK!:hatari:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…