Rekoka Member Joined Aug 12, 2015 Posts 22 Reaction score 17 Aug 6, 2020 #1 Habari wadau, kuna binti nipo kwenye mahusiano naye na amenizalia mtoto. Sasa kajipangia na mahari kabisa kwamba nisipo toa hiyo pesa bora tuachane. Sasa najiuliza kweli hapo kuna mapenzi?
Habari wadau, kuna binti nipo kwenye mahusiano naye na amenizalia mtoto. Sasa kajipangia na mahari kabisa kwamba nisipo toa hiyo pesa bora tuachane. Sasa najiuliza kweli hapo kuna mapenzi?
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,511 Reaction score 74,257 Aug 6, 2020 #2 Ukiachwa Achika Ushikwapo Shikamana
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,510 Reaction score 88,978 Aug 6, 2020 #3 Wanawake hatutaweza kuja kuwaelewa tukili hilo kwanza halafu ndo tuanze kujadili..🤣 Mkuu binafsi mi sijui juu ya hilo asee
Wanawake hatutaweza kuja kuwaelewa tukili hilo kwanza halafu ndo tuanze kujadili..🤣 Mkuu binafsi mi sijui juu ya hilo asee
tweenty4seven JF-Expert Member Joined Sep 21, 2013 Posts 15,895 Reaction score 19,771 Aug 7, 2020 #4 Wanawake type hiyo huwa mnaokota wapi?kua mwanaume mahari mwambie mpka 2025 akiona vipi ajilipie yeye
Wanawake type hiyo huwa mnaokota wapi?kua mwanaume mahari mwambie mpka 2025 akiona vipi ajilipie yeye
Misako JF-Expert Member Joined Jul 15, 2020 Posts 1,143 Reaction score 1,405 Aug 7, 2020 #5 Ukiona hivyo huyo analengo na hiyo hela cyo ndoa... Jaribu kumuelewa Kisha jielewe na wewe nadhani utajua la kufanya. .. Angalizo: Usioe mwanamke kisa anamtoto wako au kwa huruma ya kitu flani.
Ukiona hivyo huyo analengo na hiyo hela cyo ndoa... Jaribu kumuelewa Kisha jielewe na wewe nadhani utajua la kufanya. .. Angalizo: Usioe mwanamke kisa anamtoto wako au kwa huruma ya kitu flani.