Kuna mambo yanashangaza sana!!

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,923
Reaction score
95,765
[emoji51][emoji51][emoji51]
Nendeni kwenye page ya azam tv ya instagram kwa habari zaidi!
 
Reactions: Lee
Sijaona la kushangaza! Kama ni hofu ya ugonjwa hatuwezi kuwakataa watanzania waliopo huko wakirudi tuwapokeeni Kama kizuri unatakiwa ule na ndugu yako usisahau na kibaya pia!
 
Sijaona la kushangaza! Kama ni hofu ya ugonjwa hatuwezi kuwakataa watanzania waliopo huko wakirudi tuwapokeeni Kama kizuri unatakiwa ule na ndugu yako usisahau na kibaya pia!
Ninachomaanisha mimi ni kwamba wakiwa kule wakiugua ni rahisi kupata huduma/matibabu na kudhibitiwa kuliko kuja kwenye hizi nchi zenye umasikini wa akili! Ukiwa na corona China inaweza kuwa ngumu sana kuambukiza watu wengine ila ukiwa na corona Tanzania inaweza kuchukua less than a week kuambukiza Taifa zima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…