Kuna mambo inabidi tukubali ukweli tu.!

kilamba lamba

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2020
Posts
427
Reaction score
738
Habarini wana nzengo.!

Ni hivi , kuna mambo ni muhimu kukubali ukweli tu ili kuepusha magonjwa ya kujitakia .

Swala la mwanaume kuwa pekeake kwa mwanamke haliwezekani , na swala LA mwanamke kuwa peke ake kw mwanaume labda mpk shetani aokoke .!

Kwa sasa nimetulia nikijaribu kuset mind yangu kuwa mim n mchepuko wa kila manzi yangu .! Ili nisijee nikalia na kusaga meno mtoto wa mwenzenu.

NB : mniombee kwa changamoto zozote nitazokutana Nazo.
 
Kubali peke yako mkuu

Angalau kwa asilimia fulani wanaume baadhi hawawezi kuwa na mwanamke mmoja.

Ila mwanamke kuwa na wanaume wengi sio suala la kusema jamii tukubaliane nalo, Ni umalaya.
 
Endelea kuepusha kwa kua mchepuko

Thread ako haina mashiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…