Kuna mama ananitaka kwa udi na uvumba nifanyeje?

Siku ukirudi mwambie mkapime afya zenu mkikutwa mkopo poa wote fresh ila usiridhike na majibu ya hospital mkuu tu.

Nenda popote nunua rough rider za kutosha mpe haki yake mpaka anyanyue mikono juu kama UKUTA kwa JPM.
 
kumbe tatizo sio elimu zetu za bongo eti hazitujengi kufikiri, bali ni vichwa vyetu tu.
mzee una digrii mbili tena ya pili umeitungulia ng'ambo na bado hujui cha kufanya!!! #elimu_fashion
 
Wakuu salamu,

Nimeona niilete hii kuna mama alifanikisha mimi kupata scholarship ya kusoma second degree nje ya nchi.

Ni mama msichana lakini yupo na miaka 37 wakati mimi nikiwa na miaka 28 kibaya zaidi kaolewa but sijawai jua mume wake kwa sababu sijawai muona.

Sasa hivi ananitaka kimapenzi kabisa alikuwa ni Mkurugenzi pale kitengo changu cha kazi. Alifanikisha kuniunganisha nikapata scholarship ya kwenda kusomeshwa nje degree ya pili na taasisi miliyokuwa nafanyia kazi siwezi itaja.

Lakina cha kushangaza alikuwa akinipa dollar 2,000 kila baada ya miezi 6 pembeni ya ile scholarship yangu na taasisi ya kazi.

Nimekuwa nikiwasiliana naye kwa muda mrefu tokea nitoke nyumbani lakini mpaka sasa ni kuniambia ananipenda tu. Masomo nimemaliza na nimeamua kuzama ugaibuni maana naogopa hata kurudi nyumbani.

Wakuu mnishauri nifanyeje maana nimeshindwa kabisa nifanyeje huyu mama ananisumbua kweli ushauri wenu wakuu.

Nimeshindwa kutoa maelezo ya kutosha kwa sababu ya usalama wangu zaidi.
Mshaur mkapime damu ili kijiridhisha kama hana umbea wa mjini(ukimwi)
Zen ww mgegede tu ili uvunje mzz wa fiyina la sivyo atakuua huyo aiseee
 
Kwani ukimla utapata Dahambi? Hawa alitenda alizini na Shetani akapata Mimba Mtoto akaitwa Cain Adamu nae hakulaza damu akazini na hawa wakapata watoto wakamuita Abel Sasa wivu wa watoto wawili kila moja ana baba yake Ugomvi wa Mungu na Shetani ni hao wote kwa ujumla na wasi wasi Adam ndie alikuwa Mungu na Mkewe hawa Huo Ugomvi ulipoanzia na sio story za ugomvi wa Mbinguni ati Uumbaji... ambao ndio mambo ya Kuzaa kinatoka kiumbe kingine
 
Wakuu salamu,

Nimeona niilete hii kuna mama alifanikisha mimi kupata scholarship ya kusoma second degree nje ya nchi.

Ni mama msichana lakini yupo na miaka 37 wakati mimi nikiwa na miaka 28 kibaya zaidi kaolewa but sijawai jua mume wake kwa sababu sijawai muona.

Sasa hivi ananitaka kimapenzi kabisa alikuwa ni Mkurugenzi pale kitengo changu cha kazi. Alifanikisha kuniunganisha nikapata scholarship ya kwenda kusomeshwa nje degree ya pili na taasisi miliyokuwa nafanyia kazi siwezi itaja.

Lakina cha kushangaza alikuwa akinipa dollar 2,000 kila baada ya miezi 6 pembeni ya ile scholarship yangu na taasisi ya kazi.

Nimekuwa nikiwasiliana naye kwa muda mrefu tokea nitoke nyumbani lakini mpaka sasa ni kuniambia ananipenda tu. Masomo nimemaliza na nimeamua kuzama ugaibuni maana naogopa hata kurudi nyumbani.

Wakuu mnishauri nifanyeje maana nimeshindwa kabisa nifanyeje huyu mama ananisumbua kweli ushauri wenu wakuu.

Nimeshindwa kutoa maelezo ya kutosha kwa sababu ya usalama wangu zaidi.
Nipe namba yake ya simu nijadiliane nae tuone tunakusaidiaje ili upate suluhisho kijana.
 
Weka picha. Isije kuwa unaandika fantasy yako kama wimbo wa Profesa Jay "Zali la Mentali" huku umeuawa kijiweni.
 
Back
Top Bottom