Bin Chuma75 JF-Expert Member Dec 15, 2012 990 1,040 Oct 27, 2018 #1 Habari wakuu, naomba msaada wa kujua kama kuna madhara ya kuacha hotspot on kwenye simu muda mrefu. Na hayo madhara ni yapi? Shukrani
Habari wakuu, naomba msaada wa kujua kama kuna madhara ya kuacha hotspot on kwenye simu muda mrefu. Na hayo madhara ni yapi? Shukrani
Tyrex JF-Expert Member Oct 15, 2012 2,284 4,743 Oct 27, 2018 #2 Inatumia nguvu kubwa so itadrain sana battery
Prisoner of hope JF-Expert Member Aug 9, 2017 2,443 2,567 Oct 27, 2018 #3 Madhara yapo kwenye betri tu...
Bin Chuma75 JF-Expert Member Dec 15, 2012 990 1,040 Oct 28, 2018 Thread starter #4 Tyrex said: Inatumia nguvu kubwa so itadrain sana battery Click to expand... Prisoner of hope said: Madhara yapo kwenye betri tu... Click to expand... Nimetaka kujua maana unakuta mtu unasimu zaidi ya 1 na zote zinahitaji bando, sasa nimefikiri tu ikiwa utatumia simu 1 tu kwa kuweka bando then nyingine utumie WI-FI.
Tyrex said: Inatumia nguvu kubwa so itadrain sana battery Click to expand... Prisoner of hope said: Madhara yapo kwenye betri tu... Click to expand... Nimetaka kujua maana unakuta mtu unasimu zaidi ya 1 na zote zinahitaji bando, sasa nimefikiri tu ikiwa utatumia simu 1 tu kwa kuweka bando then nyingine utumie WI-FI.