Mnetukwetu
Member
- Dec 1, 2018
- 7
- 0
Nataka kuingia kuanza ufugaji wa Kuku aina ya kroila ila tayari nina Kuku wa kienyeji kama 15 na kanga 22.Swali
1. Kuna madhara gani ya kuchanganya Kuku wa kroila na wa kienyeji?
2. Kuna mafhara ya kuchanhanya kanga na Kuku?
3. Hatua za kufuata Kama zipo.
Majibu kwa wataalamu.
1. Kuna madhara gani ya kuchanganya Kuku wa kroila na wa kienyeji?
2. Kuna mafhara ya kuchanhanya kanga na Kuku?
3. Hatua za kufuata Kama zipo.
Majibu kwa wataalamu.