Siku hizi hiyo ya video calling imeingiliwa na mabazazi. Juzi nilisoma msichana mmoja wa umri mdogo aliyedanganywa kwa kuwekewa video iliyorekodiwa kabla kidume cha umri wake kumbe ni mzee wa +50. Yalofuatia, msichana alikwenda kuchukua PF3 na kesi iko mahakamani.