Ndugu si ulishatuaga hapa?Jamaa kaniuliza:Nasikia kuna mademu wanajiuza?Nikamjibu,Sijui kwa sababu mimi siko kuvamia mademu facebook akasema kweli wewe muaminifu warembo wote hujaopoa hata mmoja?Nikamjibu usibabaike na picha kutana nao uone utaomba simu izime ghafla,maana nikituko!!ila yote kwa yote ni msimamo ndio kila kitu,Mx
Demu wa facebook usimjudge kwa profile pic yake au picha za album. Ukitaka kujua alivyo kiuhalisia, mcheki kwenye picha alizokuwa tagged na marafiki zake au originals kwenye album ya "mobile uploads". Zile zinakuwa uploaded straight from the mobile phone, nyingi zinakuwa hazijafanyiwa photoshop. Ingawa latest mobile phones siku hizi zinauwezo wa ku feature advanced applications kama photoshop kwenye simu.
Hivi Facebook ni ya kutongozea?
Kajiuze na ww,Mx