A alwan New Member Joined May 24, 2016 Posts 3 Reaction score 3 Jul 19, 2024 #1 kuna mabasi kutoka DAR kwenda NAMPULA?
LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 19,899 Reaction score 37,700 Jul 19, 2024 #2 Hakunaga
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,965 Reaction score 26,152 Jul 19, 2024 #3 Kiko wapi hicho kijiji?
S Sendoro Mbazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2013 Posts 3,557 Reaction score 2,336 Jul 19, 2024 #4 alwan said: kuna mabasi kutoka DAR kwenda NAMPULA ? Click to expand... Miji ya kaskazini na pwani ya kaskazini ya msumbiji ina changamoto kubwa ya usalama
alwan said: kuna mabasi kutoka DAR kwenda NAMPULA ? Click to expand... Miji ya kaskazini na pwani ya kaskazini ya msumbiji ina changamoto kubwa ya usalama
A alwan New Member Joined May 24, 2016 Posts 3 Reaction score 3 Jul 19, 2024 Thread starter #5 Sendoro Mbazi said: Miji ya kaskazini na pwani ya kaskazini ya msumbiji ina changamoto kubwa ya usalama Click to expand... Ahsante, Sendoro Je kuna njia nyingine kufika NAMPULA au PEMBA ? Kwa mfano kupitia Malawi ?
Sendoro Mbazi said: Miji ya kaskazini na pwani ya kaskazini ya msumbiji ina changamoto kubwa ya usalama Click to expand... Ahsante, Sendoro Je kuna njia nyingine kufika NAMPULA au PEMBA ? Kwa mfano kupitia Malawi ?