Kuna maafande ni pisi bana

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,491
Reaction score
17,401
Kuna huyu hapa, macho mazuri vibaya mno, hakika huyu hata akinikamata nitaenjoy sana.


Kuna mmoja hivi nilimuona maeneo ya sarenda bridge, aisee, kadogodogo kafupi kiasi kana matege hivi, kanafanania na lulu Michael kipindi akiwa kwenye ubora wake, ila kenyewe kamezidi weupe, ilibaki kidogo nimpige mkono niombe namba ila alikua na njemba Moja polisi mwenzake NYEUSI kama mkaa, nikaogopa ataniamshia pira.

Kuna ma afande ni wazuri sana aisee sijui huku upolisini walifuata Nini
 
Asingeweza kukuletea pira kaka kwani kuna kosa kumtongoza mtu?
 
Ila wanaume 🙌

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…