Ni makubwa sana,inatosha kusema hivyoNaomba kujua madhara
kama Israel inavyofanya Gaza ? ikiuma unachomoa, tulia dawa iingie, bado wave ya 6 iko njianina nchi nyingine inapiga popote tu
Mkuu usitake kutudanganya.Kuna nchi inapiga sehemu maalum wala si makazi ya Watu na nchi nyingine inapiga popote tu, kati ya hizi nchi mbili ipi inaonekana iko vizuri zaidi kwa mbinu bora kivita?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Ni kweli mkuu,Trump kashaanza kupiga simu Russia kumshinikiza azungumze na Iran.Kama ni kweli na si Propaganda Bravo Iran
Mwenzie anatarget ZAIDI ya 150+Kuna nchi inapiga sehemu maalum wala si makazi ya Watu na nchi nyingine inapiga popote tu, kati ya hizi nchi mbili ipi inaonekana iko vizuri zaidi kwa mbinu bora kivita?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Wacha bange wewe.Mwenzie anatarget ZAIDI ya 150+
Yeye anarusha kuashiroa revenge
Naomba nijue madhara bossNi makubwa sana,inatosha kusema hivyo
Naomba nijue madhara bossNi makubwa sana,inatosha kusema hivyo
Vipi kuhusu GazaKuna nchi inapiga sehemu maalum wala si makazi ya Watu na nchi nyingine inapiga popote tu, kati ya hizi nchi mbili ipi inaonekana iko vizuri zaidi kwa mbinu bora kivita?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
UpuuziWacha bange wewe.
Israel huko Haifa oil refinery imeungua.
Israel imekataza waandishi wa habari kupiga picha maeneo ya kambi zilizoharibiwa.
Upuuzi kwako wewe kijana huo ndio ukweli.Upuuzi
Wayaudi wameficha vifaa vyao kwenye makazi ya kawaida.. Hata jengo la kuifadhia jet fighter lililolipuliwa jana walidai ni makazi ya watu kumbe wanahfadhia ndege.. Vita ni zaidi ya akili yako ya kawaida inavyowaza..Kuna nchi inapiga sehemu maalum wala si makazi ya Watu na nchi nyingine inapiga popote tu, kati ya hizi nchi mbili ipi inaonekana iko vizuri zaidi kwa mbinu bora kivita?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.