Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Kenya imeanza kuilipa #China mkopo iliotumia kujenga SGR baada ya kipindi cha neema cha miaka 5 ilichoongezewa kumalizika Disemba 31, 2019. Nchi hiyo inalazimika kutumia kodi kulipa deni hilo kwa sababu mapato ya SGR kwa mwezi (TZS 19 bilioni) hayamudu gharama za uendeshaji (TZS 34 biloni).
Serikali ya Kenya imethibitisha kuwa tayari imeweka mpango wa kutuma TZS 227.6 bilioni kwenda Benki ya Exim ya China, ambayo ndiyo mkopeshaji.
Mei 2014 Kenya iliingia makubaliano ya kukopa TZS 7.4 trilioni kutoka benki hiyo kwa ajili ya ujenzi wa SGR kutoka Mombasa hadi Nairobi.