PuraVida_Fire
Senior Member
- Apr 21, 2020
- 148
- 86
- Thread starter
-
- #141
Sipendi na sikupenda. Pombe iliniponza. Nafanya mipango hiyo japo ni changamotoKwa hiyo unapenda kuendelea kufanywa nyuma? Bora uende kwenu au kwa ndugu yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Aondoke basi akaitunze tunze labda... Ah kwani ile kitu nayo ni elastic? Sijasoma mimi babe 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo hapo ndio kashayakanyaga na kutoka hawezi? No way bado anayo nafasi bhana
Nimesema sifanyi tena, wala usihangaikeHakuna narudia HAKUNA mwanaume wa kuoa mtu anayeliwa tigo , hata kama kakufundisha yeye.
Wewe utakuwa kipozeo tu lakini mke wake atamheshimu na hatamuomba tigo hata siku moja..
Wewe endelea kugawa tigo tu ...na mimi nikipata hela baada ya hii koona ntakuja PM
Umenifikirisha sana, kama alikuwa nayo ndio maana labda hataki kunioa? Aiseekwa umri huo alionao jaribu kuchunguza itakuwa alishawahi kuwa ndoa miaka ya nyuma.
Nilikuwa na kazi yangu. Hata hivyo ndio napambana nikae sawa kiuchumi nitoke kwake. Asante kwa ushauriHujitambui,hujiamini naamini huyo Mwanaume amegundua udhaifu wako na anakuchezea. U
meandika kwamba "Nitaishi vipi kipindi hiki sina kazi" kabla yake ulikuwa ukiishi vipi mpendwa kesho yako anajua Mungu na si binadamu.
Pombe gani hiyo mwali?! Siku ya kwanza tu mbele kunauma, we huko nyuma ulishindwa vipi kushtuka?!!Sipendi na sikupenda. Pombe iliniponza. Nafanya mipango hiyo japo ni changamoto
Nashukuru sana kwa ushauriPuraVida_Fire unaonyesha uko desparate sana kwa ajili ya ndoa. Unavyosikitika kua humuelewi hakuna ndoa....
Ulishawahi kuona mtu amekufa kwasabu hajaolewa?
Alishawahi ona mtu amekatika mkono au mguu kwasabu hajaolewa?
Ndoa ambayo upo tayari kudhalilisha utu wako ili uolewe sio ndoa .
Pambana na maisha yako jijenge, take care of yourself move one na ndoa itakufata when your not looking for it. Utapata mtu anajua thamani yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sihitaji bikra mkuuSasa atafanyaje? 😂😂😂 katumika miaka 3 mbaya zaidi katoa mpaka visivyotakiwa kutolewa then akishatoka hapo nani atakula makombo?
Wanaume wenyewe hawa siku hizi wanajishaua wanatakamo na bikra
Nilikosea toka mwanzo hata hivyo sikupenda mwenyewe. Nimepata mawazo humu wacha nijifikirie upya.Mke wa ndoa hafirwi dada weka akilini narudia hafirwiii.
Nimeanza kukuelewa kidogo nahisi Upo naye Kwasababu ndio tegemeo kimaisha kwa sasa zaidi ya hayo ungemuachaNdio huyo, wala sipendi hayo mambo, nilijidanganya naona
Asante, nafanyikia kazi ushauri wenu. Lakini unataka kuniambia sitapata mwanaume mwingine? Na kwa kuwa siwashwi huko kwingine nikimpata mwingine siwezi kubali tena hayo mambo na sitamwambia kama niliwahi kufanya hayo.Pole sana Mkuu, ..uko ulikojiingiza Ndio basi tena maana saiv Utakuwa unawashwa Sehm mbili nyuma na mbele...
Na sahau kitu Heshima kutoka kwa mwanaume yeyote Dunian.
Maamuzi yoyote lazima yakuumize,so usiogope kuumia,fanya maamuzi kwaajili yako nasio kwaajili yake...Wape nafas wengine
Nishaleta sana hizo mada ila anachenga chenga. Kwa kweli naona nikikaa sawa kiuchumi nammwaga. Ila hili libaba nilikorofi sana yaani natafuta mbinu. Hata ninapokaa nihame kabisa
mwanamme yeyote ambaye alishawahi kuoa na kupata matatizo kisha hiyo ndoa kuvunjika ni ngumu sana kuingia katika ndoa nyingine mpya..atashia kuchezea tu wanawake..labda mpaka muda uende sana ndio anaweza kuja kufikiria tena kurudi katika ndoa.Umenifikirisha sana, kama alikuwa nayo ndio maana labda hataki kunioa? Aisee
Sasa dada hapo ushaharibu. Ndoa utauskia tu. Kuna kitu kinaitwa leverage. Yani huwezi kufanya deal yoyote mpaka uwe na hiyo na hata ukifanya negotiations na ukapata anachotaka utapata hasara zaidi ya faida. Marriage is like a business deal. Unaelewa? Sasa cha msingi hapo achana na huyo bwana tafuta mwingine anza upya. Sahihisha makosa yako yaliopita. Hakikisha this time around you don't lose your Leverage.Mhh umenielewa kweli? Mimi nahitaji ndoa tu
NashukuruPombe gani hiyo mwali?! Siku ya kwanza tu mbele kunauma, we huko nyuma ulishindwa vipi kushtuka?!!
Alijisemea Bonny pombe inakuonesha tabia zako halisi tu. Sasa wewe hapo tabia yako ni kutokujitambua. Hujui kipi cha kusema yes/no.
Kuna mdada insta anajiita maisha halisi emu kamcheck ukachukue ushauri wake pia na ukiongeza na wa hapa upate ujasiri wa ku move on....