Kuna kuolewa hapa kweli?

Siku ya kwanza nilikuwa nimelewa kwa hiyo alivyonipata hapo, tulipokuja tena kufanya akaendelea japo sikuwa nataka ila ikabidi tu nimuachie tu. Mapenzi ni upofu mwee

Pole, hilo limeshatokea.

Fata ushauri ambao unaona ni sahihi kutoka kwa wadau.
 
Sasa atafanyaje? [emoji23][emoji23][emoji23] katumika miaka 3 mbaya zaidi katoa mpaka visivyotakiwa kutolewa then akishatoka hapo nani atakula makombo?
Wanaume wenyewe hawa siku hizi wanajishaua wanatakamo na bikra
[emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo hapo ndio kashayakanyaga na kutoka hawezi? No way bado anayo nafasi bhana
 
Hakuna narudia HAKUNA mwanaume wa kuoa mtu anayeliwa tigo , hata kama kakufundisha yeye.
Wewe utakuwa kipozeo tu lakini mke wake atamheshimu na hatamuomba tigo hata siku moja..

Wewe endelea kugawa tigo tu ...na mimi nikipata hela baada ya hii koona ntakuja PM
 
kwa umri huo alionao jaribu kuchunguza itakuwa alishawahi kuwa ndoa miaka ya nyuma.
 
Hapo hakuna jipya, jiongeze
 
Nina kwangu, sema kazi ndio nimeacha na kuna moja nafuatulia sehemu, sema na hii Corona duh. Sasa kuondoka tu ghafla ndio nawaza nitaishi vipi kupindi hichi sina kazi. Yaani najifikiria haswaa
Hujitambui,hujiamini naamini huyo Mwanaume amegundua udhaifu wako na anakuchezea. U
meandika kwamba "Nitaishi vipi kipindi hiki sina kazi" kabla yake ulikuwa ukiishi vipi mpendwa kesho yako anajua Mungu na si binadamu.
 
PuraVida_Fire unaonyesha uko desparate sana kwa ajili ya ndoa. Unavyosikitika kua humuelewi hakuna ndoa....
Ulishawahi kuona mtu amekufa kwasabu hajaolewa?
Alishawahi ona mtu amekatika mkono au mguu kwasabu hajaolewa?
Ndoa ambayo upo tayari kudhalilisha utu wako ili uolewe sio ndoa .
Pambana na maisha yako jijenge, take care of yourself move one na ndoa itakufata when your not looking for it. Utapata mtu anajua thamani yako


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…