Kuna kuolewa hapa kweli?

Safi sana afate huu ushauri aisee wanawake kuwategemea wanaume muda umepita tutafute vyetu na wao watupe hata siku hawapo huwazi utaishije
Ubarikiwe kwa ushauri mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
ni kweli mkuu pia wanawake mpo creative sana na nnajua vishughuli gani mkijiongeza mtawateka wenzenu na kuanza kupata pesa mbili tatu..... sio lazima ziwe pesa za kununulia gari au ghorofa mtu kuwa na uwezo tu wa kupata mahitaji ya msingi kuwa na your own ghetto labda na kujitoa vi-out viwili vitatu na kuenjoy kampani yako mwenyewe inamaana kubwa sana utaona hata wanaume wanaanza kuwaatracted na kukuweka ndani kama mke....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
mnapenda msipopendwa...mnaangalia mteremko ndipo shida ilipo
Tatizo mnalazimisha wanawake wote tuwe hivyo mnavyodhani, ni kweli kuna wanawake wako hivyo ila siyo wote na mapungufu yapo kwa jinsia zote hata kwenu wanaume.

Hivyo tuendelee tu kushangaana na kunyoosheana vidole hivyo hivyo
 
Kwani matatizo kama hayo kwa wanaume hayapo mkuu, mbona hata ninyi wanaume tukiwaambia mapungufu yenu mnakataa na mnarukaruka kama bisi zinazochomwa.

Ni kawaida kwa kila jinsia kujitetea na kuvutia upande wake, tukubaliane tu.
 
Tatizo mnalazimisha wanawake wote tuwe hivyo mnavyodhani, ni kweli kuna wanawake wako hivyo ila siyo wote na mapungufu yapo kwa jinsia zote hata kwenu wanaume.

Hivyo tuendelee tu kushangaana na kunyoosheana vidole hivyo hivyo
Nini kifanyike sasa
 
hahahahaha wee endelea nae tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa akuoe vipi wakati papuchi na tigo umempelekea ndani mwenyewe anaipiga kama pweza? Ww ondoka akikuhitaji mwambie mfunge ndoa.
 
Ushawah kuona mwanamke Anaolewa kwa kutoa nyuma,(SHAME ON YOU).
UMenifanya mpk nilazimike kupitia Thread za zako za nyuma niangalie ulishawah kupost nn.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushawah kuona mwanamke Anaolewa kwa kutoa nyuma,(SHAME ON YOU).
UMenifanya mpk nilazimike kupitia Thread za zako za nyuma niangalie ulishawah kupost nn.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru, wala hata sifanyi tena. Sema naona nilikosea sana kuweka hicho kipengele hapo labda. Ila ningejuaje kufanya hivyo ndio kujinyima ndoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…