Kuna kuolewa hapa kweli?

You can definately be defined as sex lab for sex research that your BF has discovered, nakuambia huto acha maana ashakutia ulemavu na kila utakaye mpata atakuacha kwa kuharibiwa rectum mechanism

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mi wangu nilimuuliza vipi baba mambo yanasomeka au nijipange akaniweka wazi kabisa hakuficha


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhh, asante kwa ushauri. kama nilishakosea nifanyaje? Nimuache? Kupata mwingine na kuanza upya nayo ni kazi jamani mpaka umjue mtu mpya duh
Yani hapo hakuna namna na sidhani kama utampata mwanaume ambae anataka mwanamke alietumika sehemu zote labda itokee kama bahati...ila endelea kuvumilia tu maana waswahili husema ukiyavulia maji nguo sharti uyaoge
 
Umeeleweka
Wewe bwana embu kua serious.


Watu wamekushauri weee, lkn naona respond yako kwa wanaokushauri kuacha ni ndogooo.



Sasa niivi, Unataka kuacha au Unataka kuendelea??


Kama unania ya kuacha ACHA na Fanya ulivoshauriwa.


Kama huna nia ya Kuendelea, Endelea mwili ni wako, Tgo niyako .


Mambo mengine madogo lkn mnayafanya kua magumuuu !!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhh, asante kwa ushauri. kama nilishakosea nifanyaje? Nimuache? Kupata mwingine na kuanza upya nayo ni kazi jamani mpaka umjue mtu mpya duh
Unaona sasa ???

Huu ndo utopolo wenyewe naosema..



Oyaa , Huyu MTU anawachora tu, kwake Kuanza upya ni Ujinga.

Na atampata wapi wakumpa vile anavyopata ???.


Huyu bwana ,ni ama Mwanaume... Au Mwanamke lkn Anatangaza Biashara.





Ila kama ni mwanamke, Endelea kuliwa, Ila uliwe ukiwa tayari umeshazaa watoto.


Si wanawadanganya et ohoooo unazaa tu??


Sasa ndo utakua unasukuma , kinyesi tu na upepo ndo unatoka....


Mwisho utaletwa Tukupige Kisu, na siku izi Mnapenda sana visu !!.

Siku mnavikauli vyenu.... (mi kuzaa bado saaaaaaana,... Kuzaa sina mpangooooo )


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu nimejibu wengi na nimeshukuru kwa ushauri. Na nimeshasema nimeacha. Sasa natakiwa kufanya nini labda ili nionyeshe kujuta?? Nakushukuru pia
 
Rudi kwa Mungu wako, piga magoti sali, mwambie umetubu na umeacha dhambi iyo, nakwamba akupe nguvu na uwezo wa kuhimili Maisha bila ya kua Nahiyo Firauni.
Ndugu nimejibu wengi na nimeshukuru kwa ushauri. Na nimeshasema nimeacha. Sasa natakiwa kufanya nini labda ili nionyeshe kujuta?? Nakushukuru pia
Hauna cha kufanya ili ujijutishe, Na usije kujaribu kujijutisha, in fact nikikukuta unajijutisha nitakutia Makofi ambayo hujawahi Pigwa tokea uzaliwe.



Rudi kwenu , hakikisha umejitenga mbali naye , Kwenu hawajakufukuza, rudi kwenu, yapambanie maisha yako ukiwa kwenu,.. Usiitafute Ndoa kwa nguvu zako na akili zako.

Wacha ndoa nikutafute yenyewe kwa nguvu zake na akili zake.



NASISITIZA, HUYO HATAKAAA AKUOE....


WEWE UTAOLEWA NA MWANAUME MWENGINE ASOKUJUA... SASA BADILIKA ILI USIJE KUMPA TABU MUMEO.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu🙏🏿
 
Nashukuru kwa kunielewa dada and Yes jitahidi dada angu wanaume wenyewe ndio sisi sio wote tunajali hisia zenu...when you are ready just nitag hapahapa namba ya wakala haitaexceed 10 minutes nitakujazia kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fact mkuu kuishi na mtoto wa watu bila ndoa sio sahihi na tunafukuza baraka zao na za kwetu pia....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…