Kuna kundi linasubiri Ubwabwa

Hapo ndo nmejua kwanini Dar na pwani kuna machoko kibao sababu ya umwinyi na utegemezi pata picha mtu unampa laki tu anasema ataka vichwa ukimuongeza hamsini si unambandua kipira?
Dar na pwani ndo mikoa Yao na ndo mnapakimbilia ..khaaa!!
 
Uislamu ni dini ya haki alhamdulilah maneno haya yametimia leo...

﴿وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُم بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ﴾
[ البقرة: 120]

Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.​

 
Ubwabwa ni mtamu sana hata watoto wako ukiwapikia ugali na ubwabwa utaona wanapenda nini


Mbona kwenye sherehe zenu hampiki ugali pumbavu nyie MAKAFIRI?
 
Kobaz hao . Wenyewe hawataki Haki wanataka amani .... sasa unapataje amani ikiwa haki upati?
 
Kobaz hao . Wenyewe hawataki Haki wanataka amani .... sasa unapataje amani ikiwa haki upati?
Haki ni ipi unayoitaka? Hata mashoga wanataka haki yao kwahiyo unapozumza haki unatakiwa useme haki ipi unayoitaka
 
Reactions: Tui
Kila kijana ana nafasi ya kuwa balozi wa amani kwa kuwakumbusha wenzake hatari za ghasia, kusambaza ujumbe wa utulivu, na kuepuka maneno ya matusi au uchochezi. Leo, katika hii Jumamosi ya kuelekea maadhimisho ya Uhuru, nawakumbusha vijana wenzangu tusherehekee kwa uzalendo, busara na mshikamano , tukijenga taifa letu kwa vitendo vya amani na upendo. #amani #tanzania #afrika #siasa #youth
 

Attachments

  • wavimba_20251206_072626_0000.png
    735.6 KB · Views: 19
Haki ni ipi unayoitaka? Hata mashoga wanataka haki yao kwahiyo unapozumza haki unatakiwa useme haki ipi unayoitaka
Kwani wewe hujui kwa sasa Tanzania inapitia katika uminywaji wa haki gani ? Hapa tunazungumzia Uminywaji wa haki ya kidemokrasia , kuteka , kuua , kubambikia kesi . Au anajitoa ufahamu ?
 
Mimi mwanzoni nilikuwa namdharau sana mzee wa ubwabwa mzee Sipunda, kumbe anajua jinsi ubwabwa ulivyo na nguvu! Muda si mrefu watamjibu Trump kwa kumwengua mama yao kwenye kushuhudia utiaji saini makubaliano ya DRC!
 
Hata samia aliwakebehi "muna gombania vijinyama Misikitini"

Leo hii wamepewa ubwabwa wamesahau mauwaji .

Hii ni dini ya njaa
 
Uko sahihi...
Chanzo ni uvivu wa kufikiri wa watu wa pwani. Shida siyo dini yoyote.
Wenye njaa wanaotafuta kipato kwa kichaka cha dini wako sampuli zote...lakini utawatenganisha na wenzao wa kazi hizo hizo za kiimani katika kusimamia HAKI NA UKWELI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…