BALAGASHIA
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 392
- 383
Habari wana jamii forum,naomba kujuzwa kama veta kuna kozi ya ufundi wa sim.Pia nahitaji kujua gharama zake.
Ipo mkuu, tena unaweza kuisomea onlineHabari wana jamii forum,naomba kujuzwa kama veta kuna kozi ya ufundi wa sim.pia nahitaji kujua gharama same.
Hebu nifahamishe vizuriIpo mkuu, tena unaweza kuisomea online
Ingia play store tafuta vsomo