Kuna kozi ya ufundi wa simu VETA?

Kuna kozi ya ufundi wa simu VETA?

BALAGASHIA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
392
Reaction score
383
Habari wana jamii forum,naomba kujuzwa kama veta kuna kozi ya ufundi wa sim.Pia nahitaji kujua gharama zake.
 
bado hawajaa advance kihiivyo...

labda cozi za gunning (kucomelea na kuchk circuit braeck tena kwa radio) ndio utakuta kule, ila bado mtaala wao ni wa kikoloni
 
Du mi naihitaji sana hiyo fani,hata nikimapata FUNDI ambaye si mbabaishaji Niko tayari kujifunza ilimradi tukubaliane tu.
 
Habari wana jamii forum,naomba kujuzwa kama veta kuna kozi ya ufundi wa sim.pia nahitaji kujua gharama same.
Ipo mkuu, tena unaweza kuisomea online

Ingia play store tafuta vsomo
 
Ufundi simu ukasomee duh ukisoma It,computer engineering utajua simu
 
Back
Top Bottom