There is just one thing naomba kujuzwa kwanza jamani eh!
Hivi ni kwanini wadada/wamama mkitaja neno mapenzi lazima liendane na hali ya maisha ya mkaka/mababa au uwezo wake kifedha?
Please nijibuni just that, manake mi nshaanza hata kukata tamaa!
Wanawake wengi siku hizi wanaangalia mshiko zaidi na sio mapenzi ya kweli.
Usikate tamaa wapo ambao wachache wana mapenzi ya kweli na sio kuangalia maslahi zaidi ila inabidi uchunguze sana.
There is just one thing naomba kujuzwa kwanza jamani eh!
Hivi ni kwanini wadada/wamama mkitaja neno mapenzi lazima liendane na hali ya maisha ya mkaka/mababa au uwezo wake kifedha?
Please nijibuni just that, manake mi nshaanza hata kukata tamaa!
Wanatafuta maisha na si mapenzi!!! Ndio maana professions zote zinaingiliwa!! Na industry ya mapenzi imeingiliwa na kirusi cha maslahi!
LAKINI: Tatizo liko wapi, ukigundua jimama/jidada ni la hivyo, achana nalo. Ukiweza kuishi kama Yesu ni bora zaidi lakini usiwake tamaa!!! Kama huwezi kuishi kama Yesu, jitose na uvumilie yote maana it is 1 in a million to fish a true loving one!!!
There is just one thing naomba kujuzwa kwanza jamani eh!
Hivi ni kwanini wadada/wamama mkitaja neno mapenzi lazima liendane na hali ya maisha ya mkaka/mababa au uwezo wake kifedha?
Please nijibuni just that, manake mi nshaanza hata kukata tamaa!
There is just one thing naomba kujuzwa kwanza jamani eh!
Hivi ni kwanini wadada/wamama mkitaja neno mapenzi lazima liendane na hali ya maisha ya mkaka/mababa au uwezo wake kifedha?
Please nijibuni just that, manake mi nshaanza hata kukata tamaa!
Nakata tamaa kuwashort list manake wengi wenu ndo walewale 2! Yani unakua happy na mtu baadae unakuta yeye alkuwa anakuthaminisha ww na mwenzio/wenzio, mbaya zaidi unakuta gap la kifeza alilokupiga mwenzio hustahili hata kufunga kamba za viatu vyake! dah, hapa wanaume tumewezwa!