The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,333
- 3,567
Licha ya kuwa na uzoefu na uzalendo wa kweli huyu mzee hajapewa nafasi ujumbe kamati kuu kama za kina E. Lowassa na F. Sumaye. Angekuja huku angemchalenji sana Mbowe hatimaye tungepata CHADEMA imara sana. Hawezi vumilia ubabaishaji uliopo CHADEMA!
Soon atakuja kuungana na magufuli kuijenga ccm Mpya..nyakati hizi watu kama lembeli magufuli anawahitaji sana..sio nyakati zile za wenye nacho ndio wanahozi chama..kwa sasa hiyo IPO chadema..sijawai muona hata katika kikao chochote cha chama au kutoa tamko..
ha ha ha nakumbuka hili neno alisema Magu pale dodoma wakati anapewa uenyekitiKwani naye aliupinga ufisadi kama mpwa wake @Mpendazoe?...Washakatwa mikia hata kufukuza nzi anayejongea tako hawawezi!
Acha utahira ww ..Lowassa na Lembeli nani katangulia kujiunga na chadema ...wadanganye mapimbi wenzio wa lumumba ...kama anarudi ccm kipi cha ajabu?? Tuko imara kuliko chama chako chakavu ambacho kinapumlia mipira ya polisi ...chadema hata aondoke nani hatuwezi kuyumba ..sisi ni raia wakakamavu ..hutuwezi kuyumbishwa na upepo...achana na propaganda uchwara fisiem wwHuyu mzee alijiunga CHADEMA akidhani wako serious. Ukumbuke kuwa huyu mzee ni miongoni mwa wabunge wa CCM ambao walikuwa wakiupinga ufisadi kwa nguvu zote. Aliamini anakwenda CHADEMA kuendeleza mapambano dhidi ya ufisadi. Kwa bahati mbaya kwake haikuchukua muda mrefu mara baada ya yeye kujiunga CHADEMA mzee Lowassa naye akajiunga na CHADEMA. Sasa agenda ya ufisadi ikafa kifo cha mende. Sasa abaki CHADEMA kufanya nini? Hakuna tofauti kati ya Lembeni na Mpendazoe. Sio watu wa kubaki CHADEMA ambayo agenda iliyowaweka kwenye ramani wameitema kwa sababu ya kumkabidhi chama mtu asiyeipenda hiyo agenda.
Utaonaje wakat huna macho wala masikio?Soon atakuja kuungana na magufuli kuijenga ccm Mpya..nyakati hizi watu kama lembeli magufuli anawahitaji sana..sio nyakati zile za wenye nacho ndio wanahozi chama..kwa sasa hiyo IPO chadema..sijawai muona hata katika kikao chochote cha chama au kutoa tamko..
Mi mwenyewe nmeshaona hizo dalili kimya Kingi...........Licha ya kuwa na uzoefu na uzalendo wa kweli huyu mzee hajapewa nafasi ujumbe kamati kuu kama za kina E. Lowassa na F. Sumaye. Angekuja huku angemchalenji sana Mbowe hatimaye tungepata CHADEMA imara sana. Hawezi vumilia ubabaishaji uliopo CHADEMA!