robert deusi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2014
- 399
- 69
Ikiwa tumebakiza takribani miezi 4 kuingia kwenye uchaguzi mkuu. Sioni na siamini kama uchaguzi utafanyika.
Mpaka leo hii NEC aijafikisha hata nusu ya mikoa ya Tanzania bara kwa uandikishaji wa wapiga kura kwenye daftari la kudumu.
Na hapo hapo bado tume pamoja na viongozi wakuu wa serikali wanasema uchaguzi uko pale pale.Kwa mimi naona hili suala aliwezekani hata kidogo.
Iweje tume ambayo imeshindwa kufanya kazi kwa muda wa miaka zaidi ya mitatu alafu kazi ile ile ifanywe kwa miezi minne.
Hili aliwezekani hata kidogo binafsi yangu naona JK na tume yake wamejiandalia muda wa kuendelea kuwa madarakani
Yaleeee ya Nkurunziza yananyemelea Tanzania.