Kuna Kabinti binti binti Kananizinguaaaa...!!!!

hamzidi demu wangu,,mimi napenda minyamaminyama..sio vifupa kama hiko kidada,,hawanaga stim kabisa hao..
 
Hana uzuri wowote, mimi namuona amenenepeana mishavu ovyo tu kwa sababu ya kula sana na utajiri wa baba yake,
Angekulia familia ya kawaida huyo usingemtamani hata kumuona.
 
Hana uzuri wowote yote haya ni kwa sababu ya mboga saba, mbona mademu wengi hapa uswahili kwangu wanamkimbiza huyu binti tena mbali sana...
 
Reactions: mij
Ni mzurijeeeee, with her natural colour. Ila mmmmmmmmmm huyu mtoto atakuwa ana limited friends kwa baba yake kuhofia usalama wake. But she is cute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…