Kuna jambo lazima wanaume mliielewe

Kuna jambo lazima wanaume mliielewe

yani kuna watu napenda kusoma mada zao ila wananitesa sana na uandishi wao..1.Lemutuz 2.Katoto kazuri yani utaratibu wa kuacha nafasi,kutenganisha aya na aya hawaujui kabisa kiufupi wao kanuni za uandishi hawana mpango nazo ilimradi tutasoma kwisha.

Sema poa,nimejitahidi nimesoma japo kwa mbindeeee,namalizia kwa kusema hiviiiiii Single mother ninae muelewa ni 1.Aliyefiwa na mwenza wake (huyo naoa)
2.Aliyebakwa au lazimishwa kufanya mapenzi kwa tamaduni au sababu yeyote ikapelekea yeyey kupata ujauzito na kuwa na mtoto (huyo naoa pia)

Ila single mother yeyote aliyetoa papuchi akajitanua kwa furaha kabisa wakat wa tendo halafu akaja achana na mwenza wake iwe kwa kuonewa yeye au kwa sababu nyngine yeyote (sioi hata kwa fimbo,akatafute single father mwenzake)

Kina dada kueni makini kupita maelezo...umeshafanya makosa leo hiii hauna bikra na aliyeitoa haupo nae PLEASE usirudie tena kukosea kuzaaa na mwanaume ambae hato kuoa...(jitieni vichwa ngumu,umaskini na tamaa zitawaponza)

hi SINGLE MOM'S😉😉😉
True nisawa
 
Hujaambiwa uwaoe ila usiwaseme vibayab
 
MI HATA SIWASEMI...burudani ya mwingine iwe kero kwangu? kama dada angu ntakusema ila kama sina ukoo na wewe aaah we pambana tu Mi hata sijigusi
Ni ukweli kabisa tena sio kidogo ila kama umemzalisha mtu kwanini usimwoe hii ndio point yangu
 
Ni ukweli kabisa tena sio kidogo ila kama umemzalisha mtu kwanini usimwoe hii ndio point yangu
Tatizo baada ya kuzalishwa huwa mnahamishia mapenzi kwa mtoto na si mwanaume,mnasahau bado na sisi tunakua tunahitaji upendo na mapenzi so mwanaume anapoona hapati tena alichokua akikipata,anakuacha anaenda anapopata.

ila mnaosababisha msiolewe na wanaowazalisha ni nyie wenyewe,,haiwezekani mwanaume akubali mimba,aleee alafu akatae kukuoa HAPANa lazima kuna shida mahali na shda yenyewe ni nyie wenyewe mnavyoishi na sisi baada ya kupata mtoto.
 
Ni ukweli kabisa tena sio kidogo ila kama umemzalisha mtu kwanini usimwoe hii ndio point yangu
mwanaume anaekataa mimba huyo sina la kusema..ila kwa aliyekubali mimba tangu ikiwa changa,akalea,mtoto akazaliwa akamfurahia halafu hajakuoa...tatizo ni wewe mwanamke si mwanaume,ingekua ni kukuacha angekuacha tangu ukiwa mjamzito akalea mimba mkiwa mmeachana ila hakufanya hivyo aliendelea na wewe kwa hali yako kwasababu ulikua unaonyesha na kumpa kila alichohitaji hata ulipokua mjamzito.

Balaaa limekuja tokea baada ya wewe kujifungua,umehamisha mapenzi mahaba kila kitu kwa mtoto umemsahau BABA asee mwanaume nae ni mtoto,ukimsahau nae anakusahau.
 
Ungemuoa tu sio umuache kwao
Kuna wengine hawana sifa za kuolewa.
1. Mwanamke analazimisha yeye ndiyo awe ana maamuzi
2. Hakushirikishi hata kwenye jina la mtoto
3. Anawasikiliza wazazi wake.
Wa nini sasa? Si aendelee kuishi kwao tu.
Hata km ni single father, usioe mwanamke mwenye mtoto. Ni pasua kichwa. Anawaza mtoto wake, unapiga bao, yeye anawaza matumizi ya mtoto.
 
Back
Top Bottom