umechambua vizuri sana mkuu, miaJamaa hawajielewi hawa aisee, kuhamasisha watanzania kuonesha uzalendo siyo mbaya ila namna ambazo wanwaambia wahamasishe ndo tatizo kubwaa!
Ubovu wa timu yetu usifanye kuwa treat wwgeni vibaya, njia sahihi si kuwazomeaa, kuwabeza na kuwaletea fitina kama ambavyo clouds wanahamasisha!
Jamani mpira una mambo mengi. Unaweza ukajua sana kuucheza uwanjani na bado ukafungwa. Kitu cha muhimu hapa ni kutimiza lengo la michuano na kila mtu anajua kuwafunga Ivory Coast uwanjani si kazi ndogo hivyo kama vipi tuanzie kabisa nje ya uwanja. Jamani hamjawahi ona viwanja vikubwa kabisa huko duniani v inapigwa maji ya kutosha imradi kuwazingua wageni. Sasa si ndio fitna zenyewe hizo? Sasa leo hii ndio iwe kitu cha ajabu kwetu! Ikiwezekana hata mazoezi tuwapeleke mchangani kabisa
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mkuu Mito swahiba hujambo? vipi mkuu mbona wapandisha hivyo huu ni mchezo (sports) ni urafiki na mashindano vijana wana pambana na kuchuana....Tuliza roho acha matusi na tuombe tushinde...mpira ni matokeo!!washenzi ni waarabu, hawa weusi wenzetu hawafanyagi hizo, so tuwapokee vizuri tu
Mkuu Mito swahiba hujambo? vipi mkuu mbona wapandisha hivyo huu ni mchezo (sports) ni urafiki na mashindano vijana wana pambana na kuchuana....Tuliza roho acha matusi na tuombe tushinde...mpira ni matokeo!!
Furahia ushindi.
Mkuu huanzaga fair game na kumalizia mama salama!! nipe mfano T/stars walifanyiwaje na waarabu? Mbona sikumbuki...unachosema ni sahihi tu iwapo kuna fair game, kwa waarabu hiki kitu hakunaga aisee, kwao ni undava tu