Kuna Haja ya Kuwafanyia Undava Wageni Ivory Coast?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,141
13,215
Nimemsikia Watangazaji wa Clouds PJ na Laexander na Babra povu linawatoka wanahamasisha Watanzania kuwafanyia umafia wageni wa Ivory Coast ambao watapambana na Timu yetu ya Taifa Jumapili wakisema wakaguliwe pass zao kwa masaa mengi na wazomewe kila wapitapo, hii imekaaje wadau?
 
Jamaa hawajielewi hawa aisee, kuhamasisha watanzania kuonesha uzalendo siyo mbaya ila namna ambazo wanwaambia wahamasishe ndo tatizo kubwaa!

Ubovu wa timu yetu usifanye kuwa treat wwgeni vibaya, njia sahihi si kuwazomeaa, kuwabeza na kuwaletea fitina kama ambavyo clouds wanahamasisha!
 
umechambua vizuri sana mkuu, mia
 
Kama tulipoenda kwao na kufungwa tulifanyiwa hayo basi tulipe ila kama tulitafuta mpira kwa tochi tukubali yaishe kwani mkubwa ni mkubwa tu hata kama umemzidi kwa mambo ya kidunia. Hope Stars watacheza mpira maridadi ili tujue pa kuanzia kwani kila mwaka kuna mashindano. Ni lazima tuwe na mikakati yakinifu na endelevu na siyo ya sasa ya kujidanganya tumewiva.
 
Jamani mpira una mambo mengi. Unaweza ukajua sana kuucheza uwanjani na bado ukafungwa. Kitu cha muhimu hapa ni kutimiza lengo la michuano na kila mtu anajua kuwafunga Ivory Coast uwanjani si kazi ndogo hivyo kama vipi tuanzie kabisa nje ya uwanja. Jamani hamjawahi ona viwanja vikubwa kabisa huko duniani v inapigwa maji ya kutosha imradi kuwazingua wageni. Sasa si ndio fitna zenyewe hizo? Sasa leo hii ndio iwe kitu cha ajabu kwetu! Ikiwezekana hata mazoezi tuwapeleke mchangani kabisa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
hata wewe umechambua vizuri kwa mrengo wa kushoto

washenzi ni waarabu, hawa weusi wenzetu hawafanyagi hizo, so tuwapokee vizuri tu
 
Tukikosea tu, tuta lala kwetu kwani na wao watatufanyia kuliko yetu na wao wanauwezo mkali....
Tuwe makini tu.
 
washenzi ni waarabu, hawa weusi wenzetu hawafanyagi hizo, so tuwapokee vizuri tu
Mkuu Mito swahiba hujambo? vipi mkuu mbona wapandisha hivyo huu ni mchezo (sports) ni urafiki na mashindano vijana wana pambana na kuchuana....Tuliza roho acha matusi na tuombe tushinde...mpira ni matokeo!!
Furahia ushindi.
 
Hawa weusi wenzetu hawana shida wanaotunyanyasa miaka yote ni waarabu
 
Footbal Fitna ndogondogo muhimu. Mradi zisiwe za jinai. Duniani kote mpira nusu unachezwa kwenye mazingira ya nje ya uwanja na nusu ndani uwanjani.Jifanyeni wastaarabu sana wajipigie waondoke zao.
 
Undava is so ignorant.

Watu weusi wengine xenophobic kichizi, tena kwa weusi wenzao, halafu mzungu akiwaangalia "vibaya" tu wanalia racism.

Kama hamjui mpira wekeni juhudi mjue, sio kutaka kuleta uhuni usio na mpango.
 
Mkuu Mito swahiba hujambo? vipi mkuu mbona wapandisha hivyo huu ni mchezo (sports) ni urafiki na mashindano vijana wana pambana na kuchuana....Tuliza roho acha matusi na tuombe tushinde...mpira ni matokeo!!
Furahia ushindi.

unachosema ni sahihi tu iwapo kuna fair game, kwa waarabu hiki kitu hakunaga aisee, kwao ni undava tu
 
unachosema ni sahihi tu iwapo kuna fair game, kwa waarabu hiki kitu hakunaga aisee, kwao ni undava tu
Mkuu huanzaga fair game na kumalizia mama salama!! nipe mfano T/stars walifanyiwaje na waarabu? Mbona sikumbuki...
saa ingne hata sisi kwa sisi hutokeaga undava !
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom