Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,140
- 13,215
Nimemsikia Watangazaji wa Clouds PJ na Laexander na Babra povu linawatoka wanahamasisha Watanzania kuwafanyia umafia wageni wa Ivory Coast ambao watapambana na Timu yetu ya Taifa Jumapili wakisema wakaguliwe pass zao kwa masaa mengi na wazomewe kila wapitapo, hii imekaaje wadau?