Mi binafsi naona hakuna haja ya kitchen party kwani hayo mambo ni so natural. Tangu asilia majukumu ya ndoa kwa mke na mume yanafahamika. Lkn pia mabinti wengi kwa siku hizi wanakuwa tayari wanafahamu kila kitu kuhusu ndoa. Ni jana tu jioni nimemtoa jirani yangu baruti aliyekuja kuomba mchango wa kitchen party kwa ajili ya binti yake ambaye mi ninamfahamu jinsi alivo Malaya. Binti huyo kapata mchumba, lkn wakati huo huo bado anaendelea kutembea na mume wa mtu, ambaye huyo mume wa mtu naye anashiriki ktk kuandaa harusi ya huyo binti. Kwa kweli kaniudhi sana. Nimeamua kufuta michango yote ya sherehe za aina hii nyumbani kwangu-ref Magufuli