Mi niko kivingine!
As a matter of fact ! Kusheherekea mwaka mpya ni kusheherekea kifo!
Kwa maana ya kila mtu aelewe kila Saa , Siku , Wiki , Mwezi , Mwaka , Muongo , vikipita hua havirejei tena na kila vikipita jua ndiyo inavyopelekea umri wako wa kuishi kusogea na kila usugeapo ndiyo safari ya ahera! (Ahera moja)