Kuna haja gani kuchangia hutuba ya raisi wakati hawakuisiliza bungeni

koyola

JF-Expert Member
May 20, 2015
2,645
1,748
Wakati raisi JMP alipokua akihutubia bunge live wabunge wa ukawa walitoka nje na hawakuisiliza eweje leo watake kuichangia live kwenye luninga wakati hawakukaa kuisikiliza?
 
Aliyekuambia hawakusikiliza ni nani.....kwani kutoka pale bungeni ndio kutopata nafasi ya kusikiliza, kama walifuatilia kwenye tv au redio unajuaje?
 
Wakati raisi JMP alipokua akihutubia bunge live wabunge wa ukawa walitoka nje na hawakuisiliza eweje leo watake kuichangia live kwenye luninga wakati hawakukaa kuisikiliza?
Mambo haya ni mazito mno kwako, ukikua utajua tu. Kwasasa endelea kuuza t-shirts na kofia za chama hapo Lumumba.
 
Aliyekuambia hawakusikiliza ni nani.....kwani kutoka pale bungeni ndio kutopata nafasi ya kusikiliza, kama walifuatilia kwenye tv au redio unajuaje?
Kama ndo hivo wachangie basi kwenye redio au magazeti kuliko kulazimisha kuchangia kwa wao waonekane kwenye luninga
 
nimecheka sanaa....so waliofuatilia hotuba ya pombe ni waliokuwepo bungeni tuu???
NNdalichako alivyoondoka pale baraza la mitihani athari zilikuwa kubwa sana na mojawapo ya athari ni huyo mleta post...........
 
Wakati raisi JMP alipokua akihutubia bunge live wabunge wa ukawa walitoka nje na hawakuisiliza eweje leo watake kuichangia live kwenye luninga wakati hawakukaa kuisikiliza?
Mkuu asante sana kwa swali lako lenye mashiko kwa wenye akili
 
Wakati raisi JMP alipokua akihutubia bunge live wabunge wa ukawa walitoka nje na hawakuisiliza eweje leo watake kuichangia live kwenye luninga wakati hawakukaa kuisikiliza?

Wewe unaonekana lazima utakuwa ni mzee, siku hizi hata kwenda darasani ni mtu kupenda lakini kila kitu kipo online. Unaweza kujisomea bila kwenda darasani. Itakuwa hiyo hotuba iliyorushwa live. Kwa maneno mengine sisi wananchi kwa kuwa hatukuwa bungeni hakuna lolote tunalojua kwenye hotuba ile ya rais ni mpaka tuongejee wabunge wachangie hapo bungeni. Kama huo ndio uelewa wako endelea kushikilia hapohapo.
 
Labda kama sikufatilia wakati Bunge lafunguliwa,nijuavyo ni kwamba wabunge wa upinzani wao walikua wanaimba Maalim Seif na ilikuwa wanaresist Mh. Shein asipewe heshima kama rais wa serikali ya mapinduzi ya watu wa Zanzibar na ndipo Ndugai akaamuru watoke nje,sasa kwa tafsiri ya kugoma kusikiliza sijui umeitolea wapi,au unaweza nipa ufafanuzi kidogo una maana gani? Na hata hivyo kutoka ndani ya ukumbi wa bunge haimaanishi hawakuiona au kuisikiliza hotuba ya Rais,jamani mlisoma ili iweje?mbona kama mnajitukanisha kwa reasoning yenu? Tuache ushabiki turudi katika misingi kama Taifa na tuone tunatokaje hapa tulipo.
 
Wakati raisi JMP alipokua akihutubia bunge live wabunge wa ukawa walitoka nje na hawakuisiliza eweje leo watake kuichangia live kwenye luninga wakati hawakukaa kuisikiliza?
Nikweli una hoja yea msingi. Lakini kuna haja ya kutotumia mabavu maana tunalijenga taifa moja. Hakuna haja ya kudanganya umma eti unarusha kipindi cha maswali na majibu wakati wa kazi alafu wakati wa kujadiri hotuba wakate. Haiingii akilini maana kwa upande wangu mm najua ofisi zinafunguliwa saa mbili asubuhi
 
Wakati raisi JMP alipokua akihutubia bunge live wabunge wa ukawa walitoka nje na hawakuisiliza eweje leo watake kuichangia live kwenye luninga wakati hawakukaa kuisikiliza?
Ndio maana wanaitwa nyumbu,uwezo wao ni mdogo,na hao hao ndio walikuwa wanituhumu TBC leo hii wanajidai wanaipenda sana,kwani utekelezaji wa ahadi na majukumu yao lazima wauze sura zao kwenye runinga,na hata hivyo tumewachoka kuwaona kwenye runinga wakizomea zomea utadhani wale jamaa zetu wa Gombe,kuna haja gani ya kuangalia akina mama watu wazima kama akina Esther,Halima na kaka zao akina Lisu wakipiga kelele utadhani wapo vilabu vya wanzuki,tabia zao mbaya zinawaharibu hata watoto wetu .
 
Wakati raisi JMP alipokua akihutubia bunge live wabunge wa ukawa walitoka nje na hawakuisiliza eweje leo watake kuichangia live kwenye luninga wakati hawakukaa kuisikiliza?
hoja ya kipumbavu kabisa hii. hivi huwa mnafikiria nini nyie wapuuzi wakati mwengine?
 
Back
Top Bottom